Isaiah 45:6

6 aili kutoka mawio ya jua
mpaka machweo yake,
watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi.
Mimi ndimi Bwana wala hakuna mwingine.
Copyright information for SwhNEN